MUKUU ENEO
Shule
ya santa ana ilianzishwa mmwaka wa 1915 kama mojawapo wa shule za zamani
California. Wanafunzi kutoka dunia nzima wanaamua kusomea katika shule ya Santa
Ana kwa sababu nyingi kama, mazingira yanayopendeza, usalama wa shule na pia
utamaduni mbalimbali. Ukiwa katika shule ya Santa Ana unaweza kwenda mahali
mbalimbali kwa urahisi kama , pumbao
mbuga( Disneyland, Universal studio, Knott’s berry farm na Six flags magic
fountain). Ununuzi, (Southcoaast plaza,
fashion island, Irvine spectrum na cabazon outlets), milima iliyo na theluji (
bear mountain, snow summit,na mt baldy), alama zinazojulikana ulimwengu wote(
Hollywood, Los Angeles,na Griffith park), fukwe (Santa Monica, Venice,
Huntington, Newport na Laguna) na pia sanaa.
UCHAGUZI NAFUU
Shule
ya Santa Ana ina elimu ya maadili. Malipo ya shule ni nafuu katika mfumo wa
elimu ya juu ya California yote. Malipo ya chini ya ada, hali ya vifaa vya
sanaa, kushugulikiwa vilivyo na walimu, darasa ndogo na pia msako makini kutoka
kwa walimu waliohitimu. Kusoma katika shule hii ni jambo ambalo litaleta nufaa
maishani mwako.
SHAHADA NA VYETI
Shule
ya Santa Ana imepewa kibali na chama cha shule cha Western Association Of
Schools. Shule hii hutoa shahada katika eneo mia moja kuu, cheti mipango katika
eneo mia moja na ishirini. Taaluma ya
utaalamu na uhamisho kozi katika vyuo vikuu.Shahada na vyeti ni kama,
Accounting, advertising, design,computer graphics, automotive, business
administration, management,entrepreneurship, broadcasting, computer information
systems, computer science, dance, digital music
production,economics,electronics,engineering,entertainment
industrymanagement,kinesiology,fashion design and merchandising, fire
technology,child development, international business, journalism,library technology,
marketing, music,nutrition,occupational therapy, pharmacy, psychology,
television/video communications, theatre arts na nyingine nyingi
BILA SHAKA YA
UHAMISHO
Shule
ya Santa Ana ina makubaliano inayoruhusu wanafunzi kuhamia katika vyuo kumi vya
California. UC Irvine, UC Los Angeles, UC Berkeley, vyuo vikuu kumi vya
California State University kama CSU Fullerton, CSU Long beach ,Stanford na
vyuo vikuu vingine katika marekani.
URAHISISHAJI WA
KIINGEREZA
Programu
yetu ya kiingereza ni nzuri sana na inasaidia wanafunzi kuongea kiingereza
vizuri kabla ya kuanza masomo katika shule. Programu ya kiingereza ambayo ni
Toefl Preparatory na Academically oriented, hufanywa mwaka wote katika,
February, Juni na Agosti. Kila kipindi kina masaa ishirini na manne kila wiki
ya mafunzo. Anza darasa na alama ya Toefl ya
450(PBT).
PROGRAMU YA WANAFUNZI
WA KIMATAIFA
Programu
hii husaidia wanafunzi wa kimataifa kuzoea maisha ya marekani na pia kimasomo,
kwa hivyo shule ya Santa Ana inakuwa kama nyumbani. Wanafunzi husaidiwa katika
admissions, registration, housing,transportation, immigration na mambo mengine
mengi. Mawaidha ya bila malipo ya kimasomo na kibinafsi yapo. Wanafunzi
wanaweza ishi na familia za kimarekani kupitia program yetu ya homestay ama
wanaweza omba usaidizi kupata nyumba ya kukodisha.
MAISHA YA MWANAFUNZI
Wanafunzi
wanaweza jihusisha na klabu tofauti, serikali ya wanafunzi, mashirika na pia
katika michezo. Ofisi ya vitendo vya wanafunzihupeana shugli mbalimbali za
shule na pia kimasomo. Shirika la International student Association husaidia
watu kutoka nchi mbalimbali kujuana na huleta urafiki wa kudumu. Barbecues,
beach parties, dances, skiing na out of town trips ni kati ya shuguli nyingi
zinazoandaliwa mwaka mzima.
Translator/ Elizabeth Wambui Kamau, Kenya, Major: Biology